HABARI

Mke wa Waziri Mkuu Hispania, Pedro Sanchez akutwa na Virusi vya Corona

Serikali ya Hispania imesema kuwa Mke wa Waziri Mkuu, Pedro Sanchez amethibitika kuwa na virusi vya corona.


Hata hivyo serikali imesema kuwa Waziri Mkuu na mke wake wanaendelea vizuri na wanaendelea kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya wakiwa nyumbani.
Mawaziri wawili wa Baraza la Mawaziri la Sánchez, walipimwa na wote walikutwa na virusi vya corona na hali zao zikiendelea vizuri, ilisema serikali

About the author

kidevu

Leave a Comment