HABARI

UTAFITI: Watu Wanaochelewa Kulala Wako Katika Hatari ya Kufa Mapema

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Surrey cha nchini Uingereza umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wanaowahi kulala
Msingi wa utafiti huo ni kwamba watu wanaolala muda mzuri na kuamka mapema wanaweza kuishi muda mrefu ukilinganisha na wale ambao wanachelewa kulala

Matokeo ya utafiti huo umechambua sampuli ya watu laki 5 wenye umri wa miaka 30 hadi 73 ambao walifuatiliwa tabia za ulalaji wao kwa zaidi ya miaka 6 na nusu

About the author

kidevu

Leave a Comment