HABARI

PICHA: Chilunda wa Azam FC afunga ndoa

Mshambuliaji wa Azam FC Shaban Iddi Chilunda imeripotiwa kuwa amefikia uamuzi wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Bi Shammy.
Chilunda amefunga ndoa hiyo pasipo kualika watu inadaiwa kuwa ni kutokana na mliopuko wa virusi vya corona ambao hauruhusu mikusanyiko ya watu.

About the author

kidevu

Leave a Comment