HABARI

Mkongwe Master J azidi kunogewa na penzi la Shaa, aandika haya

Mtayarishaji wa muziki Mkongwe Kwenye Bongofleva Master J ameonesha kufurahia uhusiano wa kimapenzi na mchumba wake wa Muda mrefu ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva Shaa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Master J amepost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika ujumbe mfupi unaosemaka..>>”Ananifanya nitabasamu kila nikiwa naye”

About the author

kidevu

Leave a Comment