HABARI

GSM wamaliza ubishi, Morrison haendi Simba SC

Club ya Yanga SC imemuongezea mkataba wa miaka miwili mchezaji wao raia wa Ghana Bernard Morrison ikiwa ni siku chache zimepita toka aanze kuhusishwa kuwindwa na Simba SC.
Usajili wa Morrison umekamilishwa na mdhamini wa timu hiyo kampuni ya GSM, Yanga walianza kwa kumjaribu Morrison ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa muda kiasi bila timu.
Taarifa za Morrison kwenda Simba SC zilikuwa nyingi sana, kiasi cha kuitetemesha Yanga SC na kuhakikisha inamnasa nyota huyo.

About the author

kidevu

Leave a Comment