HABARI

Mama Kanumba akubali kuitengeneza Documentary ya Kanumba “Koffi Olomide ananipeleka Congo, Corona ndio imesababisha nisisafiri

Mama Kanumba amefunguka mengi sana kuhusu kuitengeneza Documentary ya mtoto wake Marehemu Steven Kanumba ,  Mabli na hilo Mama Kanumba amefichua siri kwamba yeye ndio alikuwa Mwalimu mkubwa wa Marehemu Steven alipokuwa anakosea basi yeye alikuwa akimuelekeza ,Pia Mama Kanumba amezungumzia kuhusu kupelekwa nchini Congo DR na msanii KOFFI OLOMIDE.

Ikumbukwe kuwa @koffiolomide_officiel alivyokuja Tanzania kwa ajili ya Show yake aliwatuma baadhi ya watu katika uongozi wake wakiongozwa na Meneja wake kwenda kumtembelea Mama Kanumba na kwenda kwenye Kaburi la Kanumba. Lakini pia Koffi aliahidi kumchukua Mama Kanumba kumpeleka DR Congo na badala yake baada ya hili janga la Corona safari imeshindikana.

About the author

kidevu

Leave a Comment