HABARI

Wimbo wa Bobi Wine ‘Corona Virus Alert’ gumzo ulimwenguni

Wimbo aliouachia Msanii Bobi Wine wa Uganda unaoelezea jinsi ya kujikinga na Virusi vya Corona umewagusa watu mbalimbali duniani na kila mtu kutoa maoni yake, kama bado hujautazama chukua dakika yako moja na sekunde 53 kutazama.
Hizi ni baadhi ya Tweet  za Mashirika na Taasisi mbalimbali wakimpongeza Bobi kwa wimbo huo aliofanya na Nubian Li.

About the author

kidevu

Leave a Comment