HABARI

Vurugu Kati ya Polisi na Raia Mombasa.

Wakati serikali ikiendelea na juhudi za kukabili maambukizi ya virusi vya Corona hapa nchini jana jioni mjini Mombasa nchini Kenya kulishuhudiwa vurugu kati ya polisi na baadhi ya Raia katika siku ya kwanza ya utekelezaji wa zuio la kutoka nje kuanzia saa moja usiku hadi saa 11 alfajiri katika kukabiliana na ugonjwa huo.

About the author

kidevu

Leave a Comment