Today Marioo has brought us his new music audio go by the name of My Life
Lyrics
Wanasemaga nabii akubariki kwao (kwao)Hatari walikuwepo wakunipa kitaaniWalisemaga wahenga eti mtu kwao (kwao)Wachache walikuwepo wakaniamini kitaaniToka home mpaka studio kwa mguuViwalo vipya kutupia skukuuNguo mbaya imepauka kuukuuKula yangu anaijua alie juuMungu akunyimi vyoteAkikupa kilema atakupa na mwendoSawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengoNever neve neverNever give upNever never neverNever give upNever never neverNever give upNever never neverNever give upIlikua kama movie ila tunaishi kwa loveWanaotukwamishaga tunaona kama changamotoLeo imekua kama movie tunaishi kwa loveTunalipia na kila zaga ujana maji ya moyoAsante sana kwakunifanya superstarLeo najulikana kila kona ya mtaaAsante mama mwanao kipenzi cha watuNapendwa sana kona zote za mtaaMungu akunyimi vyoteAkikupa kilema atakupa na mwendoSawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengoNever neve neverNever give upNever never neverNever give upNever never neverNever give upNever never neverNever give up
You can listen the song bellow and leave your comment
New Audio | Marioo – My Life | Mp4 Download