Today Kusah has brought us his new music audio go by the name of Wasi wasi
Wasi Wasi Lyrics by Kusah
Baby
Doli samwelaa
Ooh baby , penzi kombolelaa
Baby tusije kumbwelaa,
Ooh baby wakabutua pila,
Honey sisi hina damu hatujakamilikaa,
Ukinicheat mara koja sawa hila ficha,
Yani dunia ina mengi usijelewa sifaa,
Ukikosea mara moja tafadhali shukaa,
Haya puliza kama inauma,
Na ukiwashwa nakukuna,
Mna moyo wa nyuma sinawa chuma,
Ukikosea itaniuma.
Haya puliza kama inauma,
Na ukiwashwa nakukuna,
Mna moyo wa nyuma sinawa chuma,
Ukikosea itaniuma
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi
Nina wasi wasi me wasi wasi mpenzi wasiwasi
Beat
You can listen the song bellow and leave your comment
New Audio | Kusah – Wasi Wasi | Mp3 Download
#Kusah #Wasi #Wasi