Msanii wa Singeli Sholo Mwamba amefunguka kuhusiana na maendeleo ya muziki wa Singeli.
Akiongea na waandishi wa habari Sholo amefunguka mambo mengi ikiwa kama yuko tayari kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Diamond au harmonize na kudai kuwa hataki kupangiwa nani wa kufanya nae kazi.
#SHOLO #MWAMBA: #Marioo,#Diamond #na #Harmonize/#Wasilete #Ushoga /#Nina #Lebo #Yangu