Ilikuwa ni kiu ya mashabiki wa Nandy kuona ni jinsi gani msanii huyo angetoa burudani baada ya kutangaza kufanya tour ya Nandy Festival akiwa na ujauzito.
Tumekuwekea Video ya Nandy akiwa jukwaani huko Songea,Angalia alivyofanya Show Licha ya kuwa Mjamzito.
#Nandy #Alivyokata #Mauno #Kwenye #Nandy #Festival #Akiwa #Na #Ujauzito