Moja kati ya Video inayosambaa huko mtandaoni ni Ya Harmonize akiwa na Mpenzi wake ambaye pia ni Meneja wake Kajala wakisali pamoja kabla ya msanii huyo kupanda jukwaani.
Swali kubwa lilikuwa ni aina ya sala iliyoonekana kusaliwa ni ya kikristo ambapo msanii huyo ni muislam kitu ambacho watu wanahisi kuwa amebadili dini.
Angalia Video Hapa chini..
#Kajala #Akimfanyia #Maombi #Harmonize,#Je #Amebadili #Dini?