HABARI

Harmonize Amshukuru Kajala,Asante Kwa Kuondoa……

 

Kuelekea kwenye siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Kajala,Harmonize amepost kwenye ukarasa wake instagram kumtakia Happy birthday in advance.

Kwenye post hiyo ambayo Harmonize ameweka video wakiwa wanafanya mazoezi yeye na kajala amemshukuru mchumba ake huyo kwa kumfanya awe mtu wa mazoezi hadi kufanikiwa kuondoa kitambi ambacho kilianza kumyemelea.

“Thanks 4 Changing My Life Baby You Have Made Me a Reall Sports man 👨 Now Kile Kitambi Vp Lol 😂 Love You REALL ONE ❤️ Happy Birthday in Advance WIFE Happy (39) My Love @kajalafrida More & More Coming FOREVER YOUNG 🏋🏻🏋️‍♀️ NDO HIVYO TENA HAZEHEKI 😂 @benardatilio 🎥” Aliandika Harmonize ambapo Kajala alikuja na ku comment “Thank you so much baby Nakupenda sana 🙏🏽❤️❤️❤️”

About the author

kidevu

Leave a Comment