Rais Magufuli akiongelea kuhusu Ikulu mpya ya jijini Dodoma “Hata Ikulu ya Dar es Salaam…ilivyo hivyo hivyo…tumeshaanza kuijenga humu ndani (Chamwino – Dodoma) kwa kutumia wataalam wetu. Tulipohamia hapa,wapo watu na mataifa mengine yalikuja yakiomba yatujengee ikulu…nilikataa…Maana yake Ikulu ingekuwa wazi…”