HABARI

Nasty C amekuwa msanii wa kwanza Africa kusaniwa lebo aliyopo Justin Bieber, Big Sean, Pusha T na wengine

 Rapa kutoka nchini South Africa Nasty C amepata shavu la kusainiwa na lebo kubwa inayosimamia kazi za wasanii wakubwa duniani ya Def Jam.
Dili hilo linamfanya Nasty C kuwa msaniii wa kwanza Afrika kusainiwa na lebo hiyo kubwa duniani, na mpaka sasa lebo hiyo inasimamia wasanii kama Justin Bieber, Big Sean, Pusha T na wengine wengi.

About the author

kidevu

Leave a Comment