HABARI

Mkongwe Kenny Rogers afiriki Dunia akiwa na miaka 81

Mwimbaji Mkongwe wa nyimbo za Country Kenny Rogers Amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo huko Sandy Springs, Georgia, Marekani akiwa na Umri wa Miaka 81, familia yake imethibitisha kwa kueleza Marehemu Kenny Rodgers alipatwa na umauti akiwa Nyumbani kwake.
Mkongwe Rogers, alitamba kwa nyimbo zake nyingi zikiwemo The GamblerLadyIslands in the Stream na Lucille, huku akiwa ameuza rekodi zaidi ya Milioni na kushinda tuzo 3 za Grammy.
Kama utakumbuka Kenny Rogers alianza kutamba Mwanzoni mwa Miakka ya 1970 na 1980 akishinda tuzo za Grammy 3 Na Aliwahi kuachia Track Maafuru Kama The Gambler, Luccie Pamoja na Coward of the Country.
R.I.P Kenny Rogers

About the author

kidevu

Leave a Comment