HABARI

Adebayor akwama Benin kwa siku 15

Mshambuliaji wa Club Olimpia ya Paraguay Emmanuel Adebayor raia wa Togo amekwama Benin katika mji wa Cotonou kwa siku 15 akiwa anarudi kwao Togo baada ya kuwekwa Karantini na abiria wengine 84.
Adebayor alilazimika kuwasili Benin ndio aanze safari ya kwenda kwao kuungana na familia kwa sababu za ishu za virusi vya corona lakini alipaswa kurudi Paraguay mapema kwa sababu wao hawajasimamisha kila

About the author

kidevu

Leave a Comment