Uncategorized

Wilder amfukuza kazi kocha wake kisa kurusha taulo

                       

Bondia Deontay Wilder amemfukuza kazi kocha wake Mark Breland kufuatia kupigwa TKO round ya 7 vs Tyson Fury na kupoteza Ubingwa wa Dunia uzito wa juu WBC.
Wilder anaamini Mark alikosea kurusha taulo ulingoni kuashiria kuwa Wilder hawezi kuendelea tena na pambano na upande wake umekubali kushindwa.
Katika mchezo wa ngumi ulingoni huwa kuna pande mbili red corner na blue corner ambao pande hizo ndio pande mbili za kambi za mabondia, ukiona upande moja wapo umerusha taulo ulingoni huwa umeashiria kukuali kushindwa.

About the author

kidevu

Leave a Comment