New Video | Z Anto – Nichape | Mp4 Download
Nichape Love song kutoka kwa Z Anto video inamuonesha aliekuwa mke wake wa ndoa Sandra Khan (Binti kiziwi ) baad ya kutoka kutumikia kifungo Nchini China,Nichape inazungumzia Mwanaume alimpa nafasi Mpenzi na kumpa ridhaa juu ya Maisha yao.
Audio imetengenezwa na BLAZA Video imefanyika Tanzania chini ya Kwetu Studios.
Bongo flava is the nickname for Tanzanian hip hop music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, dancehall, and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, a combination that forms a unique style of music.