HABARI

Rais wa Real Madrid afariki kwa corona

Rais wa zamani wa club ya Real Madrid ya Hispania Lorenzo Sanz amefariki dunia kwa virusi vya corona, Saz ,76, alikuwa Rais wa Real Madrid kwa miaka mitano (1995-2000).
Sanz ambaye 1998 aliiwezesha Real Madrid kucheza fainali ya kwanza ya michuano ya Ulaya baada ya miaka 32.
Kabla ya virusi vya corona alikuwa akisumbuliwa na tatizo la upumuaji na figokabla ya kulazwa kwa siku nane kwa homa kali ya corona na Jumanne hii aliruhusiwa kutoka hospitali.

About the author

kidevu

Leave a Comment