HABARI

Maldini na mwanae waambukizwa corona

Legend wa AC Milan na Mkurugenzi wa ufundi wa club hiyo Paolo Maldini na mtoto wake Daniel Maldini anayeichezea AC Milan wameambukizwa virusi vya corona.
Ripoti zinaeleza kuwa Paulo Maldini na mtoto wake wameshajitenga ili kupunguza au kuondoa uwezekano wa kuambukiza wengi na wanaendelea vizuri, Daniel ndio amepandishwa timubya wakubwa ya AC Milan 2020.

About the author

kidevu

Leave a Comment