HABARI

Ben Pol Afiwa na Baba Yake Mzazi

 

Msanii wa Bongo Fleva Nchini Ben Pol ameweka wazi kuwa amefiwa na baba yake.

Kupitia Ukarasa wake wa Instagram Ben Pol amepost picha akiwa na baba yake na kuandika maneno mafupi “RIP Strongman #DAD 💔🙏🏾” ambapo amepokea pole kutoka kwa mastaa mbalimbali na watu mashughuli.

#Ben #Pol #Afiwa #na #Baba #Yake #Mzazi

About the author

kidevu

Leave a Comment